Qui - Yesu Apewe Sifa


This is from the album NANI KAMA YAHWEH

CHORUS

Yesu apewe sifa
(Jesus be praised) x4

VERSE

Yeye ndiye kimbilio... milele
(He's the hiding place... forever)

Ndiye Alpha na Omega...milele
(He's the Alpha and Omega...forever)

Ndiye kiongozi wangu
(He's my ruler)

Tumpe ibaada ya sifa
(Let's give Him a sacrifice of praise)

VERSE 2

Yeye ndiye jemedari
(He's the general)

Ni mwangaza kwenye giza
(He's light in darkness)

Ni mungu wa miujiza
(He's the God of miracles)

Tumpe ibaada ya sifa
(Let's give him a sacrifice of praise)

DANCE

Tuinue mikono tuseme yeye ni Bwana
(Let's lift our hands and proclaim he's Lord).

No comments:

Post a Comment